Newsroom

The Latest News! 

HOTUBA YA DKT. REGINALD MENGI, MWENYEKITI WA TAASISI YA SEKTA BINAFSI TANZANIA KATIKA MKUTANO NA MHESHIMIWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DKT. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI NA SEKTA BINAFSI – TAREHE 3 DESEMBA 2015, IKULU, DAR ES SALAA

Mheshimiwa, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; Mheshimiwa Balozi Ombeni Sefue, Katibu Mkuu Kiongozi; Wajumbe wa  Baraza la Taifa la Biashara; Wadau wote wa….

Read More

Mengi azindua shindano la 3N – ‘Nitabuni wazo la biashara, Nitatekeleza, na Nitafanikiwa’

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI   Dar es salaam:                                                                   8 Januari, 2014.   Katika kuendeleza jitihada zake za miaka mingi za kuwashawishi na kuwahamasisha  Watanzania kujiamini kuwa kwa kutumia nguvu….

Read More

mengi_slider2-1024x437

Ripoti ya maendeleo ya biashara Afrika yazinduliwa.

Maendeleo halisi ya kiuchumi nchini hayatapatikana hadi hapo rushwa kubwa itakapopigwa vita na kutafutiwa ufumbuzi wa kudumu. Mwenyekiti mtendaji wa IPP Dr Reginald Mengi ametoa angalizo hilo jijini Dar es….

Read More

mengi_slider2-1024x437

Uondoaji kero za biashara nchini utahamasisha uwekezaji

Utekelezaji kwa vitendo wa makubaliano yanayofikiwa wakati wa majadiliano baina ya sekta binafsi na serikali ndiyo yatakayoboresha mazingira ya uwekezaji nchini . Mkurugenzi mtendaji wa taasisi ya sekta binafsi Tanzania….

Read More

@Kukumgeni1 Asante kwa kunipa moyo. Ubarikiwe sana.
Youth of Africa be reminded that "All things work out for good of those who love God".
RT @BurtonBrown: The best revenge is massive success. — Frank Sinatra #quote
Tanzanians....be grateful & proud of Magufulinomics for its impact to date & in the future. Media must expound on its policies & impacts.
R I P Kassim Omar(Uganda) Former Chaiman of East African Business Council. Inna lillah wa inna illah rajoun .
Youth of Africa be reminded that poverty is not in your pocket but in your head.
Utajiri uliobarikiwa ni ule ulioupata kihalali,kisheria na kimaadili na unatumia sehemu yake kusaidia wanyonge na masikini.
Blessed wealth is that which has been obtained legally and ethically and part of it is used to improve lives of the disadvantaged in society
Youth of Africa, sowing business seed is possible for those who have determination to venture out and cultivate mind-set of risk taking.
Hayati Nyerere alitabiri ujio wa Rais Magufuli. Naamini Rais Magufuli hawezi kugeuka jiwe @MagufuliJP https://t.co/rMCREGBNZs via @youtube
Eid Mubaraka. Nakutakia Amani,Furaha na mapumziko mema ya Eid al Adh-ha.
"Anza pale ulipo,tumia ulicho nacho na fanya unachoweza" Arthur Ashe (Mchezaji tenis wa Amerika)
Waogope watu wanaokuambia eti wako nyuma yako. Mara nyingi ukigeuka nyuma hawapo @MagufuliJP
What distinguishes successful entrepreneurs from other people is their confidence to go for something and commitment to achieve results
Vijana kamwe msisahau kwamba tumbo la ulafi halishibi.
Congratulations President @UKenyatta for being re-elected. I commend our Kenyan brothers and sisters for peaceful elections.
Congrats @JNtuyabaliwe for being among 60 amazing African women featured in "Women Creating Wealth" by G.MachelTrus… https://t.co/57T6QEbB3M
RT @tjmlife: A day of worry is more exhausting than a day of work - John Lubbock
"Siku zote ukweli utabaki kuwa ukweli.Ukweli unaweza kucheleweshwa au kugeuzwa, lakini ukweli siku zote utabaki ukweli"Magufuli JP