Newsroom

More on this post

mengi_slider2-1024x437

Ripoti ya maendeleo ya biashara Afrika yazinduliwa.

Maendeleo halisi ya kiuchumi nchini hayatapatikana hadi hapo rushwa kubwa itakapopigwa vita na kutafutiwa ufumbuzi wa kudumu.

Mwenyekiti mtendaji wa IPP Dr Reginald Mengi ametoa angalizo hilo jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa ripoti ya umoja wa mataifa ya mwaka 2013 ya maendeleo ya kiuchumi, iliyozinduliwa nchini na mwenyekiti wa shirikisho la viwanda –CTI Bw. Felix Mosha.

Akizindua ripoti hiyo mbele ya wadau mbalimbali na wanachuo wa kituo cha kidiplomasia Tanzania , mwenyekiti wa CTI Bw. Felix Mosha amesema ripoti hiyo imebainisha mapungufu yanayokwamisha biashara baina ya nchi za Afrika na kupendekeza mbinu za kuendeleza biashara hizo ikiwemo kuimarisha na kuiwezesha sekta binafsi.

Akichangia hoja wakati wa uzinduzi huo mhadhiri mwandamizi wa chuo kikuu Dar es Salaam Prof. Lucian Msambichaka ametahadharisha kuwa Afrika, inayoongoza duniani kwa utajiri wa raslimali na kwa umaskini uliotopea, haitaweza kujikwamua kiuchumi kama haitawekeza vya kutosha katika raslimali watu.

Uzinduzi wa ripoti hiyo umeshuhudiwa pia na wadau mbalimbali akiwemo mkurugenzi mtendaji wa CTI Bibi Christine Kilindu, balozi mstaafu Ahmed Kiwanuka.

Posted on
Posted in Dr R. Mengi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

I pray for peace and stability for Kenya because this is important for East Africa. Without it regional integration… https://t.co/ZH44huniZt
Is technology moving too fast for Africa to catch up? https://t.co/ql6MGxlZov
@Sizwe_Phungwayo God willing possibly April next year to launch my book. I will keep you posted. Remain blessed
African Youth always remember that there is no right way of doing wrong thing.
African Youth remember: “This is your World! Shape it or or someone else will” gl
Mr President @MagufuliJP Happy Birthday.May the Almighty shower u with the best of blessings.I wish u good health, long life and happiness
Kamwe tusisau kwamba “Uaminifu ni ukurasa wa kwanza wa kitabu cha hekima”
@MachumuEmilian @Kukumgeni1 Asante. Ubarikiwe sana.
RT @Hakingowi: IKULU:Rais Dkt. @MagufuliJP akimkaribisha Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Dkt. @regmengi https://t.co/wRahtNPKIZ
RT @regmengi: @MagufuliJP is a man for this time,country and continent" Sinclair, Canadian businessman operating in Tanzania for more than…
@MagufuliJP is a man for this time,country and continent" Sinclair, Canadian businessman operating in Tanzania for more than 20 years
"For those with courage to aspire,to beleve and to work,Tanzania is a challenging and exciting land" Nyerere
"Lazima yawepo mapinduzi makubwa ya uchumi kabla ya kutimiza wajibu wa kulinda uhuru wa taifa"Nyerere. Hongera @MagufuliJP kwakutambua hili.
African Youth, there is one thing I am certain of: You can make money and lots and lots of it doing good things than bad things.
Youth of Africa, be reminded that The fear of God is the beginning of wisdom
RT @BurtonBrown: The first to apologize is always the bravest. The first to forgive is the strongest. The first to forget.. - #quote https:…
@Kukumgeni1 Asante kwa kunipa moyo. Ubarikiwe sana.
Youth of Africa be reminded that "All things work out for good of those who love God".
RT @BurtonBrown: The best revenge is massive success. — Frank Sinatra #quote